Discussion

...................................................

...................................................

...................................................

...................................................

kibongobongo mpango mzima

kibongobongo mpango mzima

ANGALIA PICHA MBALIMBALI ZIKIWAONYESHA DIAMOND NA OMMY DIMPOZ WAKIFANYA SHOW LONDON

Posted in
No comments
Wednesday, May 21, 2014 By Unknown

BET Nominee Diamond  akipagawisha mashabiki wake wa Uingereza siku ya Jumamosi May 17, 2014 katika Club ya Malibu chini ya BONGOUK. Diamond alienda sambamba na msanii mwingine wa kizazi kipya ambaye yupo juu kwenye gemu wa muziki wa Bongo Flave, Ommy Dimpoz "Pozi kwa pozi" show ilikuwa nyomi kisawasawa.
Walimbwende wa UK wameshindwa kujizuia huku wakiwa wamepagawa na sukari ya warembo, BET Nominee Diamond na kuwalazimu kukwea jukwaa na kujumuika na Prezdaa wa wasafi.
Shabiki wa Ommy Dimpoz, mzee wa tupogo pozi kwa pozi akijiachia nae siku ya Jumamosi May 17, 2014 kwenye show ya kukata na shoka iliyofanyika ndani ya kiota cha Malibu chini ya BONGOUK na kuhudhuriwa na mashabiki lukuki wa muziki wa bongo flava.
Shabiki akikwea jukwa huku prezdaa wa wasafi, Diamond akipagawisha mashabiki wa UK siku ya Jumamosi May 17, 2014 jijini London, Uingereza.
Prezdaa wa wasafi akifanya vitu vyake.
Mwanabloger Jestina George akimwaga faranga kwa msanii anayekimbiza Bongo na ambaye kwa mara ya kwanza amekuwa nominated kwenye BET award itakayofanyika June 29, 2014 nchini Marekani.
Diamond na vijana wake wa wasafi wakilishambulia jukwaa.
Mashabiki wakishindwa kuvumilia.
Mashabiki lukuki wakufuatilai show.

Related posts

0 comments:

About the Author

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Pellentesque volutpat volutpat nibh nec posuere. Donec auctor arcut pretium consequat.

Proudly Powered by Blogger.