MAELFU YA WANANCHI WAJITOKEZA KUMZIKA MSANII ADAM KUAMBIANA KATIKA MAKABURI YA KINONDONI JIJINI DAR, PICHA HIZI HAPA.
Posted in
No comments
Wednesday, May 21, 2014 By Unknown
Msanii wa fialmu Bongo,Mariam akiweka shada la maua kwenye kaburi la marehemu Kuambiana.
Mwili huo uliyondani ya jeneza ukizamishwa shimoni tayari kwa kutoa heshima za mwisho
Baadhi ya mafundi wakichanganya zege tayari kwa kumsitiri marehemu Kuambiana
JB,akiwa chini baada ya kuzidiwa na kudondoka wakati akitoa wasaa wa marehemu Adam Kuambiana.
Baadhi ya mabaunsa na wasanii wenzake wakimnyanyua JB,baada ya kuzidiwa na kudondoka chini.
Related posts
Share this post
0 comments: