ULIISIKIA HII: NIKKI MBISHI ALETA UTATA KISA JAMAA ANAMCHUKUA DADA YAKE.
Posted in
No comments
Tuesday, May 27, 2014 By Unknown
Rapa aliyekua akiwakilisha kundi la Lunduno Nikki Mbishi ‘Baba Malcom’ leo ameingia kwenye headline baada ya kusemekana kumletea utata jamaa ambaye anatoka na mdogo wake wa kike,Soud Brown ameonea naye na haya ni majibu ya Nikki baada ya kuulizwa kama ni kweli alienda kuleta vurugu kwa jamaa.
‘Duh hiyi miyeyusho,hiyo haipo,hiyo stori miyeyusho haiwezi kutokea kitu kama hicho,sikiliza nikwambie hakuna mtu anapotea bana watu hawapotei labda watu wanaopigwa bomu wamekufa au siyo unajua kweli watu wamesambaratika ndiyo wanasema wamepotea’
‘Yawezekana kaonekana lakini wao wanaosema habari sijui mi nilifikiri tunaongea yale maswala mengine yale,hizo habari unazoniletea wewe mpya kabisa mimi sizielewi,familia ni familia hata wewe una wadogo zako sijui labda kama wewe huna wadogo zako lakini kama mtu una wadoggo zako wanakosea unaweza kuwaangalia tu’
‘Nakutolea mfano,kakaake Michelle Obama wakati anamkabidhi Michelle kwa Obama alimwambia nakupa dada yangu muangalie huyo,Obama mwenyewe alikua anaogopa akawa anaona dah mbona brother kama kakaza hivi lakini ndiyo familia hiyo damu’.
Related posts
Share this post
0 comments: