WEMA NA DIAMOND KUJIACHIA MTANDAONI WAKILA BATA CHUMBANI NI SHIIDA.
Posted in
No comments
Saturday, May 3, 2014 By Unknown
MASUPASTAA ambao ni wachumba (wanasema wenyewe), Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu na Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ wakiwa katika pozi la kimahaba kitandani Naf beach hotel.
Picha hizi Wema amezitupia katika akaunti yake ya Instagram na kuandika maneno yafuatayo;
"Thank God tumemaliza salama...Nd we are Happy it went well...Alahamdulillah....Baadae inshallah...Tulale kwanza alafu yale mapichapicha na kila kitu, leteeeeers.."
Related posts
Share this post
0 comments: