ANGALIA PICHA 38 JUU YA KILICHOTOKEA KATIKA KILL TOUR HUKO SONGEA.
Posted in
No comments
Tuesday, June 17, 2014 By Unknown
Hizi ni picha nyingine za tamasha la Kili Music Tour ambalo kwa mara ya kwanza limefanyika Songea siku ya Jumapili June 15 na kuwashirikisha mastaa wa muziki wa Tanzania kama Mwasiti, Shilole, Profesa Jay, Ommy Dimpoz, Diamond alieambatana na mpenzi wake Wema Sepetu, Khadija Kopa, Ben Pol na wengine wengi.
Picha zote hizi zimepigwa na ripota wa nguvu, asante sana @Tanganyikan
Related posts
Share this post
0 comments: