Discussion

...................................................

...................................................

...................................................

...................................................

kibongobongo mpango mzima

kibongobongo mpango mzima

OMMY DIMPOZ AZUNGUMZIA TETESI YA COLLABO NA DIAMOND

Posted in
No comments
Tuesday, June 17, 2014 By Unknown


Pamoja na kukutana kwenye nyimbo za Kigoma AllStars, kwenye wimbo wa Dully Sykes ‘Utamu’ na kwenye ngoma ya Victoria Kimani ‘Prokoto’, Ommy Dimpoz na Diamond Platnumz hawajawahi kuachia wimbo rasmi wa pamoja.

Hivi karibuni Diamond alimpa shavu hitmaker wa ‘Ndagushima’ Ommy kwenye video ya wimbo aliomshirikisha Iyanya iliyofanyika jijini London, Uingereza na kuenea tetesi kuwa wawili hao wamepanga kufanya collabo kubwa ya pamoja itakayokuwa na video kali.


Amesema siku collabo yake na mtajwa huyo wa tuzo za BET, patachimbika. “Watu kwanza najua wanasubiria kwa hamu sana lakini trust me nakuambia siku utakayosikia moto umewaka basi itakuwa ni balaa na unaelewa kwamba wamanyema kwanza hawakosei. Sijui itakuwaje, lakini ni balaa. Halafu projects zipo nyingi tu lakini watu wasubirie tu waone itakuwaje lakini nakuambia ukweli itakuwa hatari sana,” alisema Ommy.

Related posts

0 comments:

About the Author

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Pellentesque volutpat volutpat nibh nec posuere. Donec auctor arcut pretium consequat.

Proudly Powered by Blogger.