Diamond face to face na President Jakaya Kikwete ndani ya New York city.
Posted in
No comments
Tuesday, June 3, 2014 By Unknown
Mheshimiwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete yupo kwenye safari zake za kikazi na Diamond yupo kwenye safari za show zake huko Marekani. Diamond alipofika Manhattan ndani ya jiji la New York alikuta na Rais Kikwete.
Kama kawa picha mbili tatu zilihusika na Diamond ali-post picha kwenye insta na kuandika,”The President of United Republic of Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete and I…just few minutes ago in Manhattan, New York.”
Cheki picha nyingine walivyokuta hapo.
Related posts
Share this post
0 comments: