VIDEO YA MTOTO WA MIEZI 10 AKILIA KWA UCHUNGU BAADA YA MAMA YAKE KUMWIMBIA WIMBO HUU.
Posted in
No comments
Tuesday, June 3, 2014 By Unknown
Kutokana na udogo wa huyu mtoto wa miezi kumi na jinsi hisia zinavyomteka mpaka kuanza kutoa machozi kutokana na mama yake kuimba nyimbo ndio kilichofanya kila mmoja akimbilie kuitazama video hii na kufikia kutazamwa zaidi ya mara milioni 15 na laki 8 toka imewekwa October 18 2013
https://www.youtube.com/watch?feature=player_embedded&v=nIsCs9_-LP8#t=0
Related posts
Share this post
0 comments: