TAZAMA PICHA 10 ZA PARTY LA NGUVU ALILODONDOSHA CHRIS BROWN BAADA YA KUTOKA JELA
Posted in
No comments
Saturday, June 7, 2014 By Unknown
Chris Brown ametoka jela na kuungana na watu wake wa karibu wakiwemo
mama yake na girlfriend wake. Hizi ni picha za kwanza kabisa kumuonyesha
Chris Brown tangu atoke jela.
Ukiangalia kwa makini picha hizi utagundua kwamba Chris Brown amenenepa tofauti na vile alivyokuwa aningia gerezani. Party hiyo ilijumuisha sherehe ya birthday yake iliyopita. Watu waliokuwepo kwenye hiyo party ni T Pain,Tyga,Big Seam na marafiki wa karibu pamoja na familia.

Related posts
Share this post
0 comments: