SIKILIZA HAPA NYIMBO MPYA YA DRAKE.
Posted in
No comments
Tuesday, June 3, 2014 By Unknown
Drake member wa Young Money ambaye ana mashabiki wengi duniani ametoa wimbo mpya kwa ghafla bila ya kutoa teaser yoyote.
Kama wewe ni shabiki wake hapa kuna wimbo mpya unaitwa “0 to 100/The Catch Up” wenye dakika 6.
Related posts
Share this post
0 comments: