Discussion

...................................................

...................................................

...................................................

...................................................

kibongobongo mpango mzima

kibongobongo mpango mzima

GEORGE TYSON KUZIKWA KWAO KENYA

Posted in
No comments
Monday, June 2, 2014 By Unknown

78platnm
Aliyekua Director wa vipindi mbalimbali vya televisheni na Filamu George Tyson ambaye alifariki kwa ajali ya gari Mei 30 akiwa njiani kutokea Dodoma anategemewa kuagwa Jumanne June 03 kwenye viwanja vya Leaders Kinondoni jijini Dar es salaam
Awino Felix ambaye ni mdogo wa Marehemu George Tyson amesema kuwa mazishi wanategemea kuyafanya Nairobi Kenya mara baada ya hatua za kuaga mwili hapa Dar es salaam kukamilika na anategemewa kuzikwa Jumamosi ya wiki ijayo.

Related posts

0 comments:

About the Author

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Pellentesque volutpat volutpat nibh nec posuere. Donec auctor arcut pretium consequat.

Proudly Powered by Blogger.