MPYA HII YA P. DIDDY NA MEEK MILL. ICHEKI HAPA
Posted in
No comments
Tuesday, June 3, 2014 By Unknown
Rapper na mjasiriamali Sean Diddy Combs mwaka huu ameamua kurudi kwenye muziki kwa nguvu zote akitoa nyimbo tofauti. Miezi michache iliyopita alitoa wimbo wa Big Homie akiwa na Rick Ross.
Hivi sasa anakaribia kutoa video mpya ya wimbo wa “I want the love” akiwa na member mwingine wa MMG Meek Mill. Hii ni trailer ya video hiyo yenye sekunde 59.
Iangalie video hiyo hapa;
Related posts
Share this post
0 comments: