Discussion

...................................................

...................................................

...................................................

...................................................

kibongobongo mpango mzima

kibongobongo mpango mzima

SAKATA LA JAY Z KUONEKANA AKIWA AMEVAA VAZI LA KIKE HILI HAPA.

Posted in
No comments
Wednesday, June 11, 2014 By Unknown


Uchaguzi wa mavazi unahitaji umakini wa hali ya juu la sivyo wanaojua mavazi wanaweza kukuumbua wakati unadunda kama tenesi mtaani.

 Mr Hov, Jay Z ameripotiwa kuwa alikutwa mitaa ya jiji la New York akiwa amevaa jezi (Jersey) ya mpira wa miguu ya Rodarte ambayo ilitengenezwa maalu kwa wanawake yenye namba 5 kubwa kwa mbele.

 Kutokana na hatua hiyo, watu wameendelea kujiuliza kama Jay Z alikuwa amevaa jezi ya Beyonce mke wake kuonesha upendo, au alinunua nguo hiyo makusudi.

 Jay Z na mke wake Beyonce huvaa mavazi ya Rodarte, na Jumapili iliyopita wawili hao waliwasili New York na Beyonce alikuwa amevaa sweta la Rodarte likiwa limeandiwa Radarte.

 Inaelezwa kuwa hata miaka ya nyuma kwenye video za nyimbo za Jay Z alikuwa akitupia jezi za kike ila watu walikuwa hawafuatilii kwa umakini!

 Kabla hujabisha au kulibali, pitiapitia video za nyimbo za Jay Z za miaka ya 1990 na mwanzoni mwa miaka ya 2000.

Related posts

0 comments:

About the Author

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Pellentesque volutpat volutpat nibh nec posuere. Donec auctor arcut pretium consequat.

Proudly Powered by Blogger.