Discussion

...................................................

...................................................

...................................................

...................................................

kibongobongo mpango mzima

kibongobongo mpango mzima

EXCLUSIVE AUDIO: TUMENASA SAUTI ZA DJ FETY, ADAMU MCHOVU NA B12 WAKIDUNDANA STUDIO HUKU WAKISAHAU KUWA WAPO HEWANI LIVE MCHANA HUU

Posted in
No comments
Wednesday, July 2, 2014 By Unknown



Katika hali ya kushangaza bila kutarajia kumetokea Ugomvi mkubwa mchana huu katika studio za Clouds ambapo inaonekana Dj Fety wakibishana na B12 kuhusu ku-lunch kitu fulani hewani sasa hapo ndipo mbinde ilipoanzia, hii imetokea mda huu kwenye kipindi cha xxl.. sikiliza hapa


Inshu nzima  iko hivi: Wakampaka ana album alikuwa atoe tangu last yr hajatoa sembuse sasa?

 Fetty akasema yeye atatoa compilation ya fiesta 

 Fetty akasema the fact that ametambua kuwa ni tatizo ni jambo la msingi then sasa hapo ugomvi ndo ukaanza

 Kikanuka zaidi!

Fetty aliafiki jamaa wa TRA kusema wauza cds n dvds original saivi wanaonekana feki. 

Then dozen akaanza kuhoji itakuwaje fetty alikubali hilo wakati ni tatizo?

B dozen akampaka kuwa fetty yeye hiyo ni idea wakati yake tayari iko printing stages...

Actually B dozen akawa anasema haoni maana ya kutoa album kwani itakuwa.......

Mchomvu ndo akaanza kuzima mic alipoona ugomvi unazidi hewani..

Fetty aliafiki jamaa wa TRA kusema wauza cds n dvds original saivi wanaonekana feki. Then dozen akaanza kuhoji itakuwaje fetty alikubali hilo wakati ni tatizo?



BOFYA HAPA KUSIKILIZA

BOFYA UWE MJANJA

S

Related posts

0 comments:

About the Author

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Pellentesque volutpat volutpat nibh nec posuere. Donec auctor arcut pretium consequat.

Proudly Powered by Blogger.