Discussion

...................................................

...................................................

...................................................

...................................................

kibongobongo mpango mzima

kibongobongo mpango mzima

HII NDIO SABABU ILIYOWAFANYA WAANDAAJI WA FILAMU MPYA YA TRANSFORMERS KUSHITAKIWA.

Posted in
No comments
Thursday, July 10, 2014 By Unknown

trans
Kampuni moja ya kitaliii kutoka nchini China imesema kuwa itawashtaki watengenezaji wa filamu mpya ya Transformers kwa kuvunja mkataba.
Kampuni ya Chongqing Wulong Karst Tourism Co Ltd imesema katika taarifa yake kuwa watengenezaji wa filamu hiyo wameshindwa kuonyesha lebo yao vizuri katika filamu hiyo kama walivyoahidi.
Wanasema itafungua kesi dhidi ya kampuni ya Paramount Pictures na moja ya washirika wake kampuni kutoka China.
Paramount bado haijasema chochote mpaka sasa kuhusiana na madai hayo.

Related posts

0 comments:

About the Author

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Pellentesque volutpat volutpat nibh nec posuere. Donec auctor arcut pretium consequat.

Proudly Powered by Blogger.