UKISIKIA SITAKI KAZI NDO HII. UKITAKA KUTOKA UWE MBUNIFU
Posted in
No comments
Thursday, July 3, 2014 By Unknown
Umri wake anaonekana bado mdogo lakini amejaribu kufanya kitu ambacho ukikitazama unaweza kujua nini alichokusudia kufanya,sijajua ni kutoka nchi gani huyu dogo nimekutana nayo facebook nikaona nikuonyeshe na wewe mtu wangu.
Bonyeza play ucheki hii video alichokifanya huyu hapa chini
via millardayo
Related posts
Share this post
0 comments: