JENEZA LILILOBEBA MWILI WA NELSON MANDELA LIMEWASILI QUNU TAYARIKWA MAZISHI HAPO KESHO
Posted in
No comments
Saturday, December 14, 2013 By Unknown
Ikiwa ni siku tisa tangu kifo cha Nelson Mandela, sasa imefikia tamati ambapo mwili wake utakwenda kupumzishwa hapo kesho katika kijiji cha Qunu. Ikiwa inakadiliwa kuwa jumla ya watu 100,000 ndio waliofanikiwa kuufikia mwili huo katika kutoa salamu za mwisho pindi ulipokua katika ikulu ya Pletoria. Pamoja na hayo wengi wao wamerudi pasipo kuuona mwili huo na maelfu kuanaandaa safari kuelekea Qunu ili kushiriki katika mazishi hayo.
Hatua za mwisho katika kusafirisha mwili wa Nelson Mandela
Msafara unaoonyesha safari ya mwili wa Nelson Mandela kuelekea Qunu
Ndege iliyobeba mwili wa Nelson Mandela ikiwasili Qunu
Eneo katika ramani ikionyesha eneo ambalo mwili wa Nelson Mandela utapumzishwa
Related posts
Share this post
0 comments: