Discussion

...................................................

...................................................

...................................................

...................................................

kibongobongo mpango mzima

kibongobongo mpango mzima

SHILOLE ATINGA BBC LONDON

Posted in
No comments
Saturday, December 21, 2013 By Unknown


MSANII wa filamu na muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania, Shilole amepiga hatua kubwa katika ulimwengu wa muziki, baada ya kutambulika kimataifa, Shilole ambaye yuko nchini Uingereza kwa ziara ya kikazi, ameweza kupata nafasi ya kutinga katika Ofisi za Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC).


Msanii wa filamu na muziki wa kizazi kipya Shilole akiwapagawisha mashabiki wake 

Shilole anakuwa msanii wa pili mwaka huu kutinga BBC, baada ya msanii mwenzake Ambwene Yesaya (AY) kuwa msanii wa kwanza mwaka huu kutinga katika ofisi hizo,Shilole ambaye atamba hivi sasa katika tasnia ya muziki huku akijizolea sifa kemkem, kutoka na uwezo wake mkubwa wa kutumia makali yake ipavyo akiwa jukwani

Related posts

0 comments:

About the Author

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Pellentesque volutpat volutpat nibh nec posuere. Donec auctor arcut pretium consequat.

Proudly Powered by Blogger.