WEMA NA DIAMOND KATI YA UWANJA WAKIFANYA YAO. JE, NINI HATMA YA PENNY....?
Posted in
No comments
Sunday, December 29, 2013 By Unknown
Tukio hilo lilitokea rasmi jana kwenye show ya Diamond pale leaders Club ambapo Diamond aliuliza msahabiki wake kuwa ''Mntaka kumjua mchumba wangu?'' na ndipo baada ya muda mfupi alipanda stejini mwanadada Wema Sepetu na kuanza kucheza na Diamond na kukumbatiana naye kuonesha ishara ya penzi lao jipya hilo lililorudi kwa kasi.
Related posts
Share this post
0 comments: