JIJI LA DAR ES SALAAM LAKUMBWA NA MAFURIKO MAKUBWA NA YA KUTISHA BAADA YA MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA JIJINI HAPA. ANGALIA HABARI PICHA HAPA.
Posted in
No comments
Saturday, April 12, 2014 By Unknown
Kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mbali mbali ya Dar es Salaam, zimepelekea uharibufu wa barabara na mazingira.
![]() |
Mburahati na Mayfair leo asubuhi. |
![]() |
Haya ni maeneo ya jiji la Dar es Salaam yaliyoathirika na mvua inayoendelea kunyesha na kusababisha usumbufu mkubwa kwa wakazi hasa wanaoishi bondeni au kwenye mkondo wa maji mfano mito.
|
Gari lake likiwa linakaribia kufunikwa na Maji huku eye akiwa juu ya mti bado ajaamini kinachotokea.....Kama maji yataendelea basi kulala juu ya mti leo panahusika
DARAJA LINALOTENGENISHA DAR NA BAGAMOYO LAVUNJIKA..HAKUNA MAWASILIANO;
Daraja linalotengenisha Dar es salaam na Bagamoyo lililopo maeneo ya Bunju B limevunjika na kufanya kutokuwepo mawasiliano kati ya Dar na Bagamoyo.
Hali hii imewalazimu wakazi wa Bagamoyo wanaohitaji kuelekea Dar es Salaam kuzunguka njia ya KIBAHA ndipo wafike kwa shughuli zao za kila siku.
BREAKING NEWS:DARAJA JINGINE JIJINI DAR LAKATIKA JIONI HII.
Related posts
Share this post
0 comments: