SHILOLE AJISIFU KWA KUPIGA VIBUTI NA SIO KUPIGWA VIBUTI
Posted in
No comments
Wednesday, April 30, 2014 By Unknown

Akistorisha na mwanahabari wetu, Shilole alisema tangu aanze kuwa na uhusiano, amekuwa bingwa wa kupiga ‘vibuti’ wanaume ambao hawaeleweki.
“Ukweli sijui nina nini ila naamini Mungu amenipa kitu cha pekee kwa sababu naweza kumuacha mwanaume kwa kumtukana lakini akataka kurudi, sijawahi kuachwa,” alisema Shilol
Related posts
Share this post
0 comments: