GUINNESS WORLD RECORDS WAMEMTANGAZA MWANAUME ALIYEHAI MWENYE MIAKA MINGI ZAIDI DUNIANI.
Posted in
No comments
Thursday, May 15, 2014 By Unknown

Dr. Imich amezaliwa February 4th, 1903. Mwaka 1951, Imich na mke wake walihamia Marekani kutokea Soviet Union na kuishi Manhattan akiwa mwenyewe toka mke wake afariki mwaka 1986.
Aliyekuwa akishikilia rekodi hii amefariki ni Arturo Licta wa italia, alifariki April 24th akiwa na miaka 111 na siku 357.

Fahamu binadamu aliyewahi kuishi miaka mingi zaidi na kuweka rekodi liishi miaka 122 na siku 164. Alikuwa Jeanne Louise Calment wa Ufaransa.
Related posts
Share this post
0 comments: