Discussion

...................................................

...................................................

...................................................

...................................................

kibongobongo mpango mzima

kibongobongo mpango mzima

WIZ KHALIFA AKAMATWA NA BANGI UWANJA WA NDEGE

Posted in
No comments
Sunday, May 25, 2014 By Unknown

wiz-khalifa-jail-twitter-4
Rapa wa muziki wa nchini Marekani Wiz Khalifa amedakwa na polisi katika uwanja wa ndege mjini Texas baada ya kukutwa na kitu kinachodaiwa kuwa ni bangi wakati wa zoezi la ukaguzi ndani ya mabegi yake.
wizzz
Staa huyo anayetamba na ngoma yake ya “Black and Yellow” alikuwa akisafiri kutoka El Paso kwenda Dallas wakati maafisa wa uwanja wa ndege walipokuta mzigo huo ndani ya begi lake ambapo kwa mujibu wa sheria aliwekwa kizuizini na baadae kufikishwa kituo cha polisi.
Lakini Rapa huyo hakuonyesha kujali na baadae alitweet picha yake akiwa jela kuonyesha hasumbuliwi na hatua ya kukamatwa kwake.

Related posts

0 comments:

About the Author

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Pellentesque volutpat volutpat nibh nec posuere. Donec auctor arcut pretium consequat.

Proudly Powered by Blogger.