IYABO: MSICHANA STAR WA HUKO NIGERIA ANAYEHITAJI MUME KUTOKA TANZANIA, AKIDAI KWAMBA WANAUME WA TANZANIA NI WAZURI NA WANAJITUMA.
Posted in
No comments
Tuesday, December 31, 2013 By Unknown
Alitamka haya kwenye chombo kimoja , huku akidai ya kwamba amekuwa single kwa muda mrefu sana na sasa yuko tayari kuolewa na angefurahi sana kama angepata kidume kutoka Tanzania kwani alishawahi kufika tanzania, huku akitoa sifa kem kem kwamba wanaume, wa Tanzania ni wakarimu, wapole pia wanajali sana tofauti na wengine ambao nimeshawahi kukutanana nao. HAYA WADAU KAZI KWENU...!!
Habari: CLICKTZ
Related posts
Share this post
0 comments: