RIHANNA AKIONYESHA MAKALIO KWA MASHABIKI WAKE ALIPOKUA JUKWAANI HUKO FRANCE
Posted in
No comments
Tuesday, December 31, 2013 By Unknown
Rihanna amekuwa akionyesha utukutu wake mara nyingi jukwaani lakini hii ilikuwa kali alikuwa akiimba huku akionyesha makalio yake na kukatika, watu wote walibaki midomo wazi huku wakishangilia kwa uchizi aliokuwa akionyesha msanii huyo. Show hiyo ilifanyika huko France
Habari: CLICKTZ
Related posts
Share this post
0 comments: