Discussion

...................................................

...................................................

...................................................

...................................................

kibongobongo mpango mzima

kibongobongo mpango mzima

DIAMONG AONGEZA TATOO KATIKA MWILI WAKE

Posted in
No comments
Friday, April 18, 2014 By Unknown

fe6d6858c5aa11e3bd990002c9c63244_8
Msanii nyota kutoka Bongo Diamond Platnumz ameonekana akiwa na tattoo nyingine mbili kwenye mwili wake tofauti na zile alizochora akiwa China.

4f6f015cc64211e380950002c9f0e410_8 Tattoo hizo kama ukiitizama hii picha ya juu vizuri utaona kuna tattoo iliyoandikwa CHIBU hapo shingoni halafu mkononi hapo iliyoandikwa SANDRA pamoja na mkono wake wa kulia kuna moja imechorwa nembo ya gitaa.

1601421_709182579145867_5780495853591675947_n

Siku ya tarehe 15 mwezi huu mchora tattoo maarufu hapa Bongo alipost picha hii akiwa na Diamond na kuandika status hii nainukuu
“A late night Tattoo session (4am) with a friend who is our very own Diamond Platinumz. Next session Pizza on me (lol), stay blessed. Shout out Romeo Romy Jones, one love.”

10009287_10154023486165483_3612149785712991699_n
So inaonyesha kabisa kuwa tattoo hizi mbili Diamond alizichora kwa master huyu anayejulikana kwa jina la BOAZ ndiye aliyemchora Diamond.

Related posts

0 comments:

About the Author

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Pellentesque volutpat volutpat nibh nec posuere. Donec auctor arcut pretium consequat.

Proudly Powered by Blogger.