RIHANNA AENDELEA NA UTAMADUNI WA KUANIKA MWILI WAKE NJE, TAZAMA PICHA HAPA
Posted in
No comments
Friday, April 18, 2014 By Unknown
Unapozungumzia msanii
asiyeisha vituko basi unamzungumzia Rihanna, Jana mtandao wa TMZ na MTV
Base uliachia picha za mwanadada Rihanna akiwa karibi asilimia 80 ya
mwili wake ukiwa mtupu. Rihanna alipiga picha hizo kwa ajili ya magazine
kubwa tu huko marekani
Bofya HAPA kwa picha zaidi
Related posts
Share this post
0 comments: