DIVA, ADAM MCHOMVU NA BDOZEN KUTIA MAGUU MJENGONI
Posted in
No comments
Monday, January 20, 2014 By Unknown
Loveness Malinzi ‘Diva’
WATANGAZAJI maarufu Bongo wa Redio Clouds Fm ya jijini Dar es Salaam, Hamis Mandi ‘B 12’, Adam Mchomvu na Loveness Malinzi ‘Diva’, wamerudishwa kazini baada ya kuomba msamaha.
Watangazaji hao walisimamishwa na uongozi wa Clouds baada ya kuchoshwa na tabia yao ya utovu wa nidhamu hivi karibuni.
Adam Mchomvu.
Habari-GPL
Related posts
Share this post
0 comments: