DIVA AFUNGUKA JUU YA STARLISHA KIANA KWA KUANIKA PRIVATE MESSAGE ZA PREZZO MTANDAONI
Posted in
No comments
Tuesday, January 21, 2014 By Unknown
Mtangazaji matata wa Clouds Fm Anayejulikana kwa jina la Loveness Diva jana usiku katika kipindi chake Alifunguka kiana kuhusu wapenzi wanapogombana na kuanza kuweka mitandaoni Private Message walizokuwa wanatumiana wakiwa ndani ya Mapenzi...Aliwaasa wakina dada waache huo mchezo kwani ni kujiabisha mbele ya jamiiii ..kwani inafika mahali mpaka unasema jinsi maumbile ya mpenzi wako yalivyo...Hili linaonekana ni ndogo kiana kwa Mwanadada Starlisha a.ka Chagabibie Ambae Jana Ilikuwa Gumzo mitandaoni Baada ya Kuweka Conversation zake na Prezzo Aliyekuwa Mpenzi wake na kufikia kumwita Kibamia ...
"Je wewe unasemaje ...ni sahihi kuweka private msg za mpenzi wako online baada ya kuachana?"
Related posts
Share this post
0 comments: