DIWA AJIBU BAADA YA KUTUKANWA MTANDAONI NA TEAMCHAGGABARBIE
Posted in
No comments
Wednesday, January 22, 2014 By Unknown
Drama zinazidi kuendelea, leo imeibuka akaunt ya instagram inayojiita teamchaggabarbie na imemtolea maneno machafu na ya nguoni mtangazaji wa kituo cha Clouds Fm Loveness Malinzi almaarufu kama Diva. Hebu soma hayo maneno hapo chini Na alichokijibu yeye
Haya Ndio Majibu ya Diva Lovess
Related posts
Share this post
0 comments: