LINAH AKWEPA SKENDO
Posted in
No comments
Wednesday, January 22, 2014 By Unknown
Mwanamuziki Linah Sanga Amekana katu katu Skendo kuwa anatoka na kigogo mmoja wa serekali na kuwa amempachika ujauzito ..
Linah Amesema yeye sio mjamzito na wala hatoki na Kigogo yoyote, hizo ni shutuma tu za uongo mimi nina mchumba wangu kabisa na anatambulika kwetu yote mnayoyasikia ni mambo ya kuzusha tu mitaani....Mnikomeee
Related posts
Share this post
0 comments: