MAKUNGA, KIBANDA, MWIGAMBA WASHINDA KESI YA UCHOCHEZI
Posted in
No comments
Thursday, January 30, 2014 By Unknown
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar esSalaam imetoa hukumu ya kesi ya makala iliyodaiwa kuwa ya uchochezi iliyokuwa inawakabili Meneja Uendeshaji Biashara wa Kampuni ya MwananchiCommunications Ltd (MCL), Theophil Makunga, Mwenyekiti wa zamani wa Chadema Mkoa wa Arusha, Samson Mwigamba na aliyekuwa Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Tanzania Daima ambaye sasa ni Mhariri Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya New Habari (2006), Absalom Kibanda ambapo wameibuka kidedea baada ya ushahidi upande wa mashitaka kutojitosheleza.
HABARI: UDAKUSPECIALLY
Related posts
Share this post
0 comments: