TAZAMA VIDEO YA MWANAMKE ALIYEBAKWA NA KUZIKWA AKIWA HAI
Posted in
No comments
Thursday, January 16, 2014 By Unknown
Mwanamke anayedaiwa kuwa alitekwa nyara na vijana wasiofahamika amekutwa akiwa amezikwa. Inasemekana kuwa vijana hao walimbaka na kumzika akiwa hai hali iliyowasikitisha watu wengi kwa unyama aliotendewa mwanamke huyo ambaye jina lake halijafahamika bado.
Pichani ni mwili wa mwanamke huyo ukitolewa mahali alipokuwa amefukiwa na vijana hao
VIDEO HAPA CHINI
Related posts
Share this post
0 comments: