KANYE WEST AHUKUMIWA KIFUNGO CHA NJE CHA MIAKA MIWILI (02) NA SAA 250 AKIHUDUMIA JAMII.
Posted in
No comments
Thursday, March 20, 2014 By Unknown
Msanii wa mziki wa Hip Hop kutoka nchini Marekani maarufu kama Kanye West ambaye anatamba sokoni na albamu yake aliyoitoa hivi karibuni (Yeesus), amehukumiwa kifungo cha miaka miwili na saa 250 akiwa uraiani huku akihudumia jamii kwa tuhuma za kumshambulia mwandishi wa habari katika uwanja wa ndege wa Los Angels. Mwandishi huyo wa ajali alidai kuwa kutokana na maumivu aliyoyapata, anaendelea kutumia dawa.
Lakini pamoja na hayo, msanii huyo alikanusha shitaka hilo na kumshambulia makonde mwandishi huyo.
Lakini pia msanii huyo mwaka 2008 alishitakiwa kwa kosa hilo ambapo aliwashambulia waandishi wa habari katika uwanja huohuo wa ndege wa Los Angels. Hali iliyomgharimu kununua na kulipa hasara yote ya vifaa alivyoviharibu.
#Kweli#
Related posts
Share this post
0 comments: