RAIS KIKWETE KUHUTUBIA BUNGE LA KATIBA
Posted in
No comments
Friday, March 21, 2014 By Unknown
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete anatarajiwa kuhutubia Bunge maalum la Katiba mjini Dodoma leo Ijumaa, baada ya rasimu ya pili ya katiba mpya kuwasilishwa bungeni mapema juma hili.
Hotuba ya rais Kikwete imekuwa ikisubiriwa na wajumbe wa bunge la Katiba nchini humo pamoja na wananchi wa Tanzania, wanaotaka kusikia mtazamo wa rais wao kuhusu maswala mbalimbali hasa suala nyeti la muunndo wa serikali.
Karibu mwezi mmoja sasa wajumbe hao wamekuwa wakijadiliana na kukubaliana kuhusu kanuni zitakazowaongeza wakati wakapioanza kujadil rasimu ya Katiba mpya.
Siku ya Alhamisi, wajumbe hao walipata uzoefu wa namna ya wakneya walivyopata Katiba mpya.
Akizungumza na wabunmge hao mjini Dodoma aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Kenya Amos Wako aliwaambia kuwa wahakikishe kuwa rasimu itakayopitishwa na bunge hilo izingatie maoni ya wananchi.
Tanzania itakuwa nchi ya pili katika ukanda wa Afrika Mashariki baada ya Kenya katika siku za hivi karibuni, kujihusiha na mchakato wa upatikanaji wa Katiba mpya.

Related posts
Share this post
0 comments: