HUYU NDIYE KOCHA MPYA WA MANCHESTER UNITED BAADA YA DAVID MOYES KUVULIWA MADARAKA.
Posted in
No comments
Wednesday, April 23, 2014 By Unknown
Kutokana na kutofanya vizuri chini ya uongozi wake David Moyes hatimaye leo April 22 Manchester United wamemtangaza Mchezaji wa siku nyingi wa Manchester United Ryan Giggs kukabidhiwa kwa muda mikoba ya David Moyes aliyetimuliwa kazi leo.
Related posts
Share this post
0 comments: