DIAMOND PLATINUMZ AVUNJA SHOW YA NORTHAMPTON BAADA YA PROMOTA WAKE KUMCHINJIA BAHARINI KWENYE MASUALA YA MALIPO.
Posted in
No comments
Friday, May 30, 2014 By Unknown
Unaweza kudhani kuwa mambo haya yapo
hapa tzee tu, kumbe ni kila sehemu, hata huko kwa States yapo, ile show
aliyekuwa aifanye mkali wa Afro Pop kutoka Bongo Diamond platnumz,
imeingia dosari, baada ya promota kushindwa kufikia ahadi zake katika
swala zima la mkwanja, Show hii iliyokuwa ifanyike siku ya ijumaa ya
kesho tarehe 30 May mjini Northampton, ndiyo ishakufa tena baada ya
Dangote kuzinguliwa kibongo bongo.
Diamond Platnumz alifunguka kupitia
mtandao wa Instagram na kusea haya”Kutokana na Promoter kushindwa
kutimiza makubaliano hadi sasa, imetubidi kukatisha show ya
Northampton…! NEW YORK, NEW JERSEY niko njiani tukutane tare 31 ya Mwezi
huu!
Related posts
Share this post
0 comments: