HII NDIO JEURI YA DIAMOND AKIWA KAZINI, JUA MTONYO ANAOBEBA NA SPEND YAKE AKIWA TOUR ZA NJE
Posted in
No comments
Sunday, May 11, 2014 By Unknown
Waandaaji wa show nyingi wametokea kumlinganisha sana umaarufu wa Diamond na Davido bila kupata jibu kamili, na kama unadhani ni wasanii wa nje tu ndio wenye mahitaji makubwa katika kufanya show zao, kama ulikuwa hujui basi hii, ukijua unaweza ukae chini na uanze kufikiria upya mtazamo wako, na hii ndio sababu Diamond Platnumz atazidi kuwa si msanii tu wa kawaida bali ni moja kati ya wasanii wengi wa kimataifa.
Mtonyo mpya anaochota Diamond katika show umetokea kuwapa shida waandaaji wa show, Imeripotiwa wandaaji wengi wa nchi za nje wa matamasha, wadai kuwa, ingawa Davido ni msanii mkubwa sana kulingana na Diamond, ila mahitaji ya Diamond hadi kumpandisha kupiga show moja ni ya kutisha unaweza sema ni kama unamleta Jay-z.
Unaambiwa Davido yeye huwa unamwachia anachiw mtonyo wa shilingi 85 tu,ila kaa utulie usikilize mahitaji haya ya Diamond:
Related posts
Share this post
0 comments: