TANYA AIGIZA AKIWA MTUPU KWENYE SCENE YA 'HOUSE OF LUNGULA'
Posted in
No comments
Sunday, May 11, 2014 By Unknown
Mwanadada Saraha Hassan a.k.a Tanya kutoka Kenya ameigiza akiwa utupu kwenye moja kati ya vipande (scenes) za vichekesho vya mapenzi nchini Kenya, vijulikanavyo kama house of Lungura. Vichekesho hivyo kwasasa vimepigwa marufuku kuonyeshwa kwenye TV za Kenya.
Related posts
Share this post
0 comments: