KAMPUNI YA MAGARI YA LAMBORGIN KUTENGENEZA MAGARI YA DORIA YA POLISI NCHINI ITALIA YENYE UWEZO WA KUKIMBIA KILOMITA 325 KWA SAA.
Posted in
No comments
Friday, May 30, 2014 By Unknown
Kampuni ya magari ya Lamborghini
imetengeneza gari hili maalum Huracan LP 610-4 kwa ajili ya polisi wa
Italia. Magari haya yatachukua nafasi ya magari ya zamani aina ya Lamborghini Gallardo
ambayo tayari yanatumika kupiga doria, limeripoti shirika la habari la
Italia, ANSA. Kasi yake ni kilomita 325 kwa saa. Lina kila aina ya
teknolojia ya kisasa pamoja na kamera za video kupiga picha wakati
ikifukuza wahalifu.
Related posts
Share this post
0 comments: