PICHA ZA UTATA ZA STAR KUSAMBAA MTANDAONI NA KUMUONGEZEA FOLLOWRES. CAN YOU BELIEVE...?
Posted in
No comments
Monday, May 19, 2014 By Unknown
Picha tata za aina yake za mwanadada ambaye ni SOCIALITE mweusi kutoka United States of America (USA), Ravie Roso, zimemfanya mdada apate Followers wengi kwenye ukurasa wake wa INSTAGRAM.
SOCIALITE huyu ambaye ana umbo matata amekuwa anapiga picha za mtindo wakuonyesha mapaja na miguu tu....style hii imewambamba wengi (hata mimi).
Jionee mwenyewe picha hizi.
Related posts
Share this post
0 comments: