REVEALED: BEHIND THE SCENE-CHANGAMOTO YA JOTI NA LULU KATIKA KUREKODI [VIDEO]
Posted in
No comments
Monday, May 19, 2014 By Unknown
Angalia video hapa chini.....
SWALI: Kati ya Joti na Lulu nani mrefu kuzidi mwenzie? Jibu la swali hili unalipata hapa…wakiwa katika project ya kutafuta vipaji vya uigizaji, Joti na Lulu wakati wa uandaaji wa kipindi walijikuta wanawapa wakati mgumu ma producer wao baada ya LULU kuonekana amemfunika sana Joti kwaurefu…(sijui ni viatu)…maproducer waliamua kumpangia mawe Joti iliaweze kulingana urefu na LULU.
Related posts
Share this post
0 comments: