Discussion

...................................................

...................................................

...................................................

...................................................

kibongobongo mpango mzima

kibongobongo mpango mzima

UFUSKA BONGO MOVIE WAMKOSESHA DEAL NDEFU NORA

Posted in
No comments
Friday, May 9, 2014 By Unknown

Stori: GLADNESS MALLYA
Mwanadada wa ‘long time’ kwenye sanaa ya uigizaji amejikuta katika wakati mgumu baada ya kukosa dili za kazi za maana kutokana na tabia za kifuska kwa baadhi ya wasanii wa kike wa Bongo Movie.


Akipiga stori na paparazi wetu, Nora alisema amekuwa akitembelea katika ofi si mbalimbali
na kila anapojitambulisha kwamba ni msanii wa fi lamu watu wanashtuka na sehemu nyingine anakosa dili za maana kutokana na uchafu wa baadhi ya wasanii hasa wasagaji na wanaojiuza.
“Yaani naona aibu sana kujitambulisha kwenye ofi si za watu kwani kila ninakoenda na kujitambulisha watu wanaanza kunong’ona huku wakidai kwamba wasanii wa kike wa fi lamu wana tabia chafu wakati tunachafuliwana watu wachache tu wasiojiheshimu,” alisema Nora.


Habari: GPL

Related posts

0 comments:

About the Author

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Pellentesque volutpat volutpat nibh nec posuere. Donec auctor arcut pretium consequat.

Proudly Powered by Blogger.