HUZUNI : MWANAFUNZI WA CHUO KIKUU UDSM AMEKUTWA AMEFARIKI HOSTEL.
Posted in
No comments
Sunday, June 1, 2014 By Unknown
Mwanafunzi mmoja wa Kike wa Chuo kikuu cha Dar es Salaam leo mchana muda wa saa nane amekutwa amefariki akiwa amelala kitandani chumba cha hostel, Inasemekana aliwaaga wenzake kuwa anakwenda kupumzika kidogo baada ya vipindi, baada ya muda wenzake walimkuta kitandani akiwa kashafariki.
Related posts
Share this post
0 comments: