SIKILIZA WIMBO MPYA KUTOKA KWA PHARRELL ft JAY Z – Frontin (Disclosure Remix )
Posted in
No comments
Monday, June 9, 2014 By Unknown
Hawa
ni marafiki wa karibu sana na wamewahi kufanya nyimbo nyingi pamoja
lakini hivi sasa imetoka disclosure remix ya wimbo wa Frontin ambao
ulitoka kitambo kidogo. Enjoy kusikiliza kitu kipya walichokifanya
wakali Pharrell na Jay Z hapa.
Related posts
Share this post
0 comments: