JUSTIN BEIBER AMRUDIA MUNGU BAADA YA KUKUMBWA NA KASHFA YA UBAGUZI WA RANGI.
Posted in
No comments
Tuesday, June 10, 2014 By Unknown
Katika harakati za kujirudisha kwa jamii yake na kuomba msaada wa Mungu
tangu akumbwe na kashfa ya kutoa maneno ya kibaguzi, Nyota wa muziki
mwenye makazi yake nchini Marekani Justin Bieber amechukua uamuzi wa
kubatizwa kya kwa madai ya kutaka kusafisha dhambi zake.
Nyota huyo alilazimika kuomba msamaha baada ya video inayomuonyesha akitania kwa maneno ya kibaguzi kuvuja mtandaoni.
Hivi sasa Bieber amekuwa akitumia muda mwingi jijini New York na
mchungaji ambaye amekiri kuwa wamekuwa wakitumia muda mrefu na
mwanamuziki huyo kujifunza masomo ya biblia.
Justin alitaka kubatizwa kama sehemu ya kujiunga na ukristo lakini
alikuwa akihangaika kutafuta kanisa litakalomtunzia siri yake hiyo
kwasababu amekuwa akifuatiliwa sana kwa karibu na vyombo vya habari.
Related posts
Share this post
0 comments: