WIZKID, MWANAMZIKI KUTOKA NIGERIA ATENGENEZA WIMBO NA CHRISS BROWN.
Posted in
No comments
Friday, June 13, 2014 By Unknown
Inaonekana kuwa mwanamuziki kutoka nchini Nigeria yupo jikoni akitengeneza wimbo pamoja na Chris Brown kutoka nchini Marekani.
Kupitia Instagram WizKid ameweka picha hii akiwa na Chris Brown na kuandika “Studio!! @chrisbrownofficial @__bu x Tyga!! #DisturbingLA!”
Related posts
Share this post
0 comments: