ANGALIA PICHA SABA ZA UTENGENEZAJI WA VIDEO YA VICTORIA KIMANI - PROTOKO
Posted in
No comments
Tuesday, July 15, 2014 By Unknown
Mwanzoni mwa utengenezwaji wa video hii kulitoka stori juu ya ukataaji kuhudhuria kwa Ommy Dimpoz ambaye alitoa sababu ya kutokua na nguo za kushoot video hiyo,video imemalizika mwishoni mwa wiki iliyopita.
Imetengenezwa na Director Kenya anaitwa Kevin Bosco na kampuni yake inaitwa Decent Video,upande wa audio imefanyika hapa hapa Bongo na Producer ni Tuddy Thomas,ndani wameshirikishwa Diamond Platnumz na Ommy Dimpoz.
Hizi ni baadhi ya picha hizo.
Related posts
Share this post
0 comments: