HIKI NDO ALICOKISEMA DIAMOND BAADA YA TUZO YA BET ALIYOKUWA AKIWANIA KUCHUKULIWA NA DAVIDO WA NIGERIA
Posted in
No comments
Tuesday, July 1, 2014 By Unknown
"Tusipopenda kukubali matokeo na ushindi wa wenzetu basi daima hatutaweza kuwa washindani, muhimu ni kujua wapi tulipotoka na wapi tulipo leo.
"Katika nchi zaidi ya 20 zenye wasanii zaidi ya milioni 40 kuchaguliwa Tanzania ni fursa, heshima na hatua kubwa.
"Cha muhimu ni kuitumia vyema fursa hii na kuhakikisha mwakani tunapiga hatua, asante sana kwa wote wanaozidi kunisupport"
Related posts
Share this post
0 comments: