HIZI NDIZO SHUTUMA ZA VICTORIA KIMANI KWA OMMY DIMPOZ.
Posted in
No comments
Wednesday, July 16, 2014 By Unknown
Siku chache zilizopita alisikika Victoria Kimani akilalamika Ommy Dimpoz kukataa kushiriki kwenye video ya wimbo wake wa Prokoto huku akisema Ommy Dimpoz alimpa sababu nyingi ikiwa ni pamoja na kumkataa Director wa Kenya.
Kupitia You heard ya July 15 Ommy Dimpoz ameongea na Soudy Brown juu ya malalamiko hayo amabayo yalitolewa na Victoria Kimani na kusema kuwa sababu haikua hiyo ila wao walichelewa kumpa taarifa ya kufanya video hiyo.
87.8 Clouds Fm inasikika ukiwa Mbeya.
Bonyeza play kusikiliza.
Related posts
Share this post
0 comments: